Friday, 24 April 2015
Saturday, 28 March 2015
Wednesday, 25 February 2015
Tuesday, 24 February 2015
Rekodi hii inamfanya Cristiano Ronaldo kuingia kwenye list ya mashujaa wa Real Madrid…
Sunday, 22 February 2015
Man United walipocheza na Swansea kilichowakuta hiki hapa
Friday, 20 February 2015
Muimbaji wa Chamber Squad Mez B afariki dunia
Pole kwa familia yote ya Mez B. Rest in peace brother.
Thursday, 19 February 2015
Mazishi ya mzee wake na Dully yaliyo fanyika katika makaburi ya Kisutu.
Tizama mazishi ya mzee wa Dully
Wednesday, 18 February 2015
An aggressive form of HIV’ discovered in Cuba
Posted: 16 Feb 2015 05:22 AM PST
In a new research researchers have discovered a new form of HIV (Human Immunodeficiency Virus) which develops into a full blown AIDS (Acquired Immune Deficiency Syndrome) in three years in Cuba.
Tuesday, 17 February 2015
Sunday, 15 February 2015
Saturday, 14 February 2015
Real Madrid imetaja wachezaji hawa kuwa ndio viongozi ndani ya timu
Kikosi cha Real Madrid kimekuwa katika wiki ngumu baada ya kupoteza mchezo dhidi ya watani wao wa jadi Atletico Madrid ambapo walifungwa mabao manne na wakajikuta wakiingia kwenye tatizo la kinidhamu baada ya wachezaji kadhaa akiwemo Cristiano Ronaldo kuonekana wakila bata saa chache baada ya kufungwa.
Unadhani kufanya COLLABO na staa DAVIDO ni kama shilingi ngapi hivi? Hapa kaongelea hilo..
Bingwa wa mbio
Bingwa wa riadha Usain Bolt na mipango ya kustaafu Riadha
Jamaa ambaye dunia inamtambua kwa rekodi
zake kubwa ambazo ameziweka kwenye riadha, huenda wapenzi na mashabiki
wangependa kumuona tena na tena akifanya mchezo huo, maisha yanaenda
mbele na yeye ameangalia upande mwingine kwenye kile anachokitaka siku
za usoni.
Wednesday, 11 February 2015
Chelsea imecheza na Everton nimekuweka matokeo hapa
Viongozi wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Chelsea leo ilisafiri mpaka jijini Liverpool kwenda kucheza na vijana wa Roberto Martinez – Everton.
Tuesday, 10 February 2015
Haya ni mapokezi ya mabingwa wa #AFCON2015 Ivory Coast nyumbani kwao
Mabingwa wa AFCON 2015 ni Ivory Coast,
dunia nzima imewatambua baada ya ushindi wao wa penati 9-8 dhidi ya
wakali wa Ghana, fainali ambazo zilichezwa FEB 9 ndani ya Equatorial
Guinea.
Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara aliongozana na maelfu ya mashabiki ambao walifurika kwenye mapokezi ya mabingwa hao baada ya kuwasili nyumbani kwao.
Kazi yetu ni kukufanya wewe kijana wa kisasa kufanikiwa katika maisha.
Ugumu wa maisha kila mtu anautambu, ila kwa kila elimu unayoipata kidogo hata kupitia televisheni jaribu kuitumia katika harakati zako za kutafuta maisha. Angalia vidio hii kama wewe ni kijana unaehitaji kufanikiwa.
Video mpya ya wimbo wa mkali kutoka Nigeria, Flavour inayoitwa ‘Ololufe’ imetoka na sasa mashabiki wake wanaweza kuitazama.
Nakukaribisha kuitazama, amemshirikisha mwanamuziki Chidnma na video imefanyika ndani ya Jiji la Cape Town, Afrika Kusini na kusimamiwa na Godfather Productions.
Tafiti zimesema haya ndio MAJIJI salama zaidi duniani kwa kuishi… (PICHAZ)
Kila mtu anapenda kuwa mahali penye
ulinzi na usalama wa uhakika, kama ndio hivyo basi moja ya sifa ambayo
tunatakiwa kuiangalia sana mahali tunapoishi ni ishu ya usalama wa
uhakika.
Katika moja ya vitu ambavyo nimeona nikusogezee ujue ni hii ya list ya Majiji ambayo ni salama zaidi duniani !
Sunday, 8 February 2015
Hii ni kutoka Manchester United, kutana na mchezaji mwenye kasi kuliko wote…
Saturday, 7 February 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)




