Wednesday, 25 February 2015


Home » Michezo » Mchango wa David Beckham kwenye soka, tuzo hii maalum ni kwa ajili yake…

January Makamba - Tanzania Mpya

Mchango wa David Beckham kwenye soka, tuzo hii maalum ni kwa ajili yake…

bekMkongwe wa soka dunia David Beckham amedhihirisha kuwa alitumia vyema nafasi yake uwanjani na kujenga jina kabla hajaamua kustaafu mchezo huo na kuendelea na maisha ya kawaida.

Tuesday, 24 February 2015

Rekodi hii inamfanya Cristiano Ronaldo kuingia kwenye list ya mashujaa wa Real Madrid…



criiiiNeema imeendelea kubaki upande wa mshambuliaji Christiano Ronaldo baada ya juzi kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 na kumfanya kuwa mfungaji wa tatu kwa kuwa na magoli mengi katika historia ya soka la Hispania.

Sunday, 22 February 2015

Ajali ya moto kwenye ghorofa la makazi ya watu Dubai (Picha & Video)

0
Moja ya story ambayo imechukua sehemu kubwa ya habari kwenye vyombo vya Kimataifa ni hii ishu ya moto mkubwa ambao umeteketeza sehemu kubwa ya ghorofa usiku wa kuamkia leo February 21 Dubai.

Man United walipocheza na Swansea kilichowakuta hiki hapa


(null)
Miezi takribani 7 tangu siku ya kwanza ya msimu wa 2014/15 wa ligi kuu ya Englang ulipoanza – ambapo tulishuhudia Swansea City wakimpa kipigo cha kwanza Louis Van Gaal katika uwanja wa Old Trafford – leo Kocha huyo kiholanzi alipata nafasi ya kurudisha kisasi.

Friday, 20 February 2015

Mwanamke Amuua Mwanamke Mwenzake kwa Kummwagia Mafuta ya taa na Kumchoma Moto baada ya Kumfumania na Mumewe


Mkazi wa kijiji cha Ibosa, kata ya Nyakato, Bukoba Vijijini, Amelia Richard (50) anatuhumiwa kumuua mwanamke mwenzake kwa kummwagia mafuta ya taa na kumchoma moto baada ya kumfumania na mumewe.

Muimbaji wa Chamber Squad Mez B afariki dunia

Pole kwa familia yote ya Mez B. Rest in peace brother.

Muimbaji wa kundi la Chamber Squad, Maze B, amefariki leo saa nne asubuhi, kwa mujibu wa mtu aliyekuwa akimuuguza. 

Wednesday, 18 February 2015

An aggressive form of HIV’ discovered in Cuba


Posted: 16 Feb 2015 05:22 AM PST
In a new research researchers have discovered a new form of HIV (Human Immunodeficiency Virus) which develops into a full blown AIDS (Acquired Immune Deficiency Syndrome) in three years in Cuba. 

Tuesday, 17 February 2015

COUPLE ALERT : JUX, VANESSA MDEE SIO SIRI TENA

Jux Vanessa

Matokeo kidato cha nne



TAZAMA BAADHI YA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA SHULE ZILIZOONGOZA ST.FRANCIS, FEZA, CANNOSA PAMOJA NA NYINGINE .

Monday, 16 February 2015


Baada ya Ivory Coast kutwaa AFCON, haya ndiyo maamuzi ya Kolo Toure…


touMlinzi wa timu ya Liverpool, Kolo Toure amethibitisha kuwa amestaafu kucheza soka la Kimataifa baada ya kuwa

Saturday, 14 February 2015

Huu ni mwisho wa makocha wa Scotland kwenye Ligi kuu EPL?

fergie_1724312a
Sir Alex Fergusson
Kwa muda mrefu sana ligi kuu ya England imetawaliwa na makocha ambao asili yao halisi si nchi hiyo bali nje ya taifa hilo.

Real Madrid imetaja wachezaji hawa kuwa ndio viongozi ndani ya timu


Real Sociedad de Futbol v Real Madrid CF - La Liga
Kikosi cha Real Madrid kimekuwa katika wiki ngumu baada ya kupoteza mchezo dhidi ya watani wao wa jadi Atletico Madrid ambapo walifungwa mabao manne na wakajikuta wakiingia kwenye tatizo la kinidhamu baada ya wachezaji kadhaa akiwemo Cristiano Ronaldo kuonekana wakila bata saa chache baada ya kufungwa.

Diamond's concert in Mombasa






Unadhani kufanya COLLABO na staa DAVIDO ni kama shilingi ngapi hivi? Hapa kaongelea hilo..


Davido-DiamondFans wa muziki ni mashuhuda wa Collabo kali ambazo staa wa Nigeria, DAVIDO ameshiriki na kuzifanya kuwa nyimbo kubwa Afrika na Duniani, sikuwahi kusikia juu ya kiwango cha pesa ambacho analipwa ili kufanya collabo, unaweza kuhisi anahitaji pesa kiasi gani ili afanye collabo yoyote?

Maneno ya Papa Francis kwa wanandoa wasio na watoto..

Pope-Zuchetto_2766237bKiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amewalaumu wanandoa ambao wameamua kuishi bila kuwa na watoto, amesema uamuzi huo ni kitendo cha ubinafsi.

Mtoto wa Jackie Chan leo kaongea na waandishi wa habari baada ya kutoka jela..

001ec949f81b164952e41eJana nilikusogezea story ya kuachiliwa kwa mtoto wa actor Jackie Chan ambaye alikamatwa kwa kosa la kukutwa na bangi nyumbani kwake na pia kosa la kuruhusu watu wavute bangi nyumbani kwake.

Miaka kumi ya mtandao wa YOUTUBE..

463842675
Mwanzo ilikuwa kitu cha kidogo na cha kawaida, Chad Hurley, Steve Chen na Jawed Karim hawakuwahi kuwa na ndoto kwamba kuna siku itakuwa ni kitu kikubwa ambayo dunia nzima itakiangalia.

Bingwa wa mbio


Bingwa wa riadha Usain Bolt na mipango ya kustaafu Riadha


6082237-large
Jamaa ambaye dunia inamtambua kwa rekodi zake kubwa ambazo ameziweka kwenye riadha, huenda wapenzi na mashabiki wangependa kumuona tena na tena akifanya mchezo huo, maisha yanaenda mbele na yeye ameangalia upande mwingine kwenye kile anachokitaka siku za usoni.

Wednesday, 11 February 2015






Chelsea imecheza na Everton nimekuweka matokeo hapa


(null)
Viongozi wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Chelsea leo ilisafiri mpaka jijini Liverpool kwenda kucheza na vijana wa Roberto Martinez – Everton.

Tuesday, 10 February 2015

Haya ni mapokezi ya mabingwa wa #AFCON2015 Ivory Coast nyumbani kwao

Coastals
Mabingwa wa AFCON 2015 ni Ivory Coast, dunia nzima imewatambua baada ya ushindi wao wa penati 9-8 dhidi ya wakali wa Ghana, fainali ambazo zilichezwa FEB 9 ndani ya Equatorial Guinea.
Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara aliongozana na maelfu ya mashabiki ambao walifurika kwenye mapokezi ya mabingwa hao baada ya kuwasili nyumbani kwao.

Kazi yetu ni kukufanya wewe kijana wa kisasa kufanikiwa katika maisha.



Ugumu wa maisha kila mtu anautambu, ila kwa kila elimu unayoipata kidogo hata kupitia televisheni jaribu kuitumia katika harakati zako za kutafuta maisha. Angalia vidio hii kama wewe ni kijana unaehitaji kufanikiwa.
Flavour kwenye video yake mpya ‘Ololufe’ Ft. Chidnma
 
Messi iii
Video mpya ya wimbo wa mkali kutoka Nigeria, Flavour inayoitwa ‘Ololufe’ imetoka na sasa mashabiki wake wanaweza kuitazama.
Nakukaribisha kuitazama, amemshirikisha mwanamuziki Chidnma na video imefanyika ndani ya Jiji la Cape Town, Afrika Kusini na kusimamiwa na Godfather Productions.

Cris brown aja kwa kishindo mgando

Baada ya haso za kutosha, sasa aja upya na New frame

Tafiti zimesema haya ndio MAJIJI salama zaidi duniani kwa kuishi… (PICHAZ)

0_CATERS_Hong_Kong_Extreme_Selfies_08-800x498
Kila mtu anapenda kuwa mahali penye ulinzi na usalama wa uhakika, kama ndio hivyo basi moja ya sifa ambayo tunatakiwa kuiangalia sana mahali tunapoishi ni ishu ya usalama wa uhakika.
Katika moja ya vitu ambavyo nimeona nikusogezee ujue ni hii ya list ya Majiji ambayo ni salama zaidi duniani !

Hii ni ya kichanga aliyezaliwa na kukutwa na ujauzito wa mapacha !!


twins-1Mara nyingi tumezoea kusikia matukio ya ajabu, mengine yakiingia kwenye historia na kuacha kumbukumbu zisizofutika kama hii ya mtoto aliyezaliwa China na kugundulika kuwa ni mjamzito.

Sunday, 8 February 2015


Hii ni kutoka Manchester United, kutana na mchezaji mwenye kasi kuliko wote…


Manchester-United-v-QPRKatika hali ya kawaida kasi ni sehemu kubwa ya mchezo wa soka katika zama hizi na moja kati ya sifa ambazo humpambanua mchezaji bora na yule asiye bora ni jinsi ambavyo wachezaji wanatumia kasi wakiwa uwanjani kwa faida ya timu zao.
.
Add caption