COUPLE ALERT : JUX, VANESSA MDEE SIO SIRI TENA
Wawili hao ambao waliangusha shoo ya nguvu visiwani Zanzibar wikiendi iliyopita sambamba na kundi la navy Kenzo, wali-post picha wakiwa katika pozi la mahaba niue kwenye mtandao wa Instagram na kujikuta wakipata pongezi nyingi kutoka kwa followers wao. Tazama picha za ziara yao hapo chini

Mtangazaji
wa Clouds Tv, Shadee(Wa Kwanza kushoto), Vanessa Mdee, Petitman na Jux
baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa Zanzibar



No comments:
Post a Comment