Baada ya Ivory Coast kutwaa AFCON, haya ndiyo maamuzi ya Kolo Toure…
na kikosi cha timu ya Taifa Ivory Coast kwa miaka 15, ambapo ameshiriki pia kuisaidia Timu hiyo kutwaa kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2015.
Mchezaji huyo
mwenye umri wa miaka 33 aliweka wazi kuwa mchezo wake wa mwisho
kuonekana kwenye dimba la soka la kimataifa ulikuwa wa dhidi ya timu ya Equatorial Guinea.
Kolo akiwa na jezi ya Klabu ya Liverpool
Kolo
anasema anaipenda nchi yake na hasa anachokipenda zaidi maishani mwake
ni mchezo wa soka, lakini amesisitiza kuwa huu ni wakati wake wa
kusitisha kuendelea kucheza.
“Najisikia
vibaya sana kuwafahamisha kuwa ni wakati wangu kuwaaga, lengo langu
lilikuwa kushinda katika michuano ya kombe la mataifa ya Africa..
nakubali ulikuwa ni uamuzi mgumu kutangaza“:- Kolo Toure.
Toure
amekuwa kiungo muhimu sana katika kuutengeneza ushindi wa timu na taifa
lake katika kipindi cha miaka ya 2006, 2010 and 2014 akiwa na kikosi
cha timu yake ya taifa katika michuano ya Kombe la Dunia.
waaaaooooo
ReplyDelete