Tuesday, 10 February 2015

Flavour kwenye video yake mpya ‘Ololufe’ Ft. Chidnma
 
Messi iii
Video mpya ya wimbo wa mkali kutoka Nigeria, Flavour inayoitwa ‘Ololufe’ imetoka na sasa mashabiki wake wanaweza kuitazama.
Nakukaribisha kuitazama, amemshirikisha mwanamuziki Chidnma na video imefanyika ndani ya Jiji la Cape Town, Afrika Kusini na kusimamiwa na Godfather Productions.

1 comment: